Recent Posts

Jumuiya ya wanablogu Tanzania ipo,ilianzishwa miaka mingi ila bado haijakamilika.Vikao vingi vilifanyika na wanablogu wa miaka ile tulichangia mada.Kweli tulifika mbali sana.

Napenda kuwataarifu JUMUWATA IPO.Jumuiya gani tena inayohitajika?Mnataka kuwepo na jumuiya ngapi?

Posted by nyahbingi worrior. Sunday, September 18, 2011

1 Responses to JUMUIYA YA WANABLOGU TANZANIA(JUMUWATA)

  1. emu-three anasema:
  2. Tunashukuru kutufahamisha hilo, bsi tunaomba viongozi waliochaguliwa au nyie mliohusika kipindi hicho mtupe muendelezo wake, tufanyeje ili tuwemo na kuwepo na njia za kuhamasishana, kueleimishana na hata awards mbalimbali kama njia ya kuahamasishana, au vipi...tunashukuru kwa kutujulisha hilo, ....

     

Post a Comment

Followers

Popular Posts

Luihamu Ringo