Recent Posts

Tumezoea kusikia watu wakisema,ili kumtambua mtu unamwangalia sura.Inasemekana ukimwangalia mtu sura yake basi ni rahisi kubaini anafikiri nini.

Nini maana ya SURA?

Kwanini SURA za binadam zinatofautiana?Kwanini SURA ya MWANAMKE inatofautiana na MWANAUME?

Kwanini wanaume wengi leo hii wanapenda sura zao kuonekana laini kama za wanawake?

Mwanaume SURA yake inapaswa kuwa ya ukomavu tofauti na mwanamke.

SWALI....

kwanini wanaume wengi wanapenda kujipodoa na kutumia manukato ya kila aina?

Naamini mwanaume si SURA bali kujituma na kuwajibika.Huwezi kuitwa BABA kama kila siku unaporudi nyumbani,unarudi ukirusha mikono pasipo kubeba hata ndizi mbivu.

Napingana na dhana ya mwanaume kujiangalia katika KIOO.

Posted by nyahbingi worrior. Wednesday, September 21, 2011

0 comments

Post a Comment

Followers

Popular Posts

Luihamu Ringo