Recent Posts

Wengi wetu tunadhani kazi kubwa ya KITANDA,kulala.Hapana kitanda kinaweza kutumika kama MEZA ya kulia chakula,KITANDA kinaweza kutumika kama kiti au viti.

Nani kasema KITANDA ni ndoa?

VITANDA vipi vya aina nyingi sana,kuna vitanda vya 6x6,5x6,4x5 N.K.Wengi wetu tunakimbilia kitanda cha 6X6 tukisahua yakuwa hata kaburi ni futi 6 kwenda chini.Namaana ya kwamba tunaanza kujichimbia kaburi tukiwa KITANDANI.

Wengi wetu tunadhani kazi kuuu ya KITANDA kufanya tendo la ndoa au uasherati au kuzini au kuvunja amri ya sita.Siamini kama hili tendo linaweza kufanyika tu KITANDANI kwani baada ya utandawazi hili tendo linaweza kufanyika JIKONI,STORE,CHOONI,SEBULENI au hata kuegemea UKUTA.

Umetandika kitanda chako?Lakini naamini sio wote tunaweza kumiliki KITANDA nasio wote tunapenda kulala kitandani.Naamini tunapenda VITANDA kwasababu hatupendi kufanya kazi.

Posted by nyahbingi worrior. Wednesday, September 21, 2011

0 comments

Post a Comment

Followers

Popular Posts

Luihamu Ringo