Recent Posts

Nguo zote za bibi harusi zinafanana na rangi yake ni moja tu.Rangi ya nguo ya bibi harusi ni NYEUPE.Sijui  kwanini nguo ya bibi harusi ni NYEUPE na sio NYEUSI.Inasemekana rangi aina ya NYEUPE ni kiashiria ambacho kinashiria kitu SAFI kabisa,HAKINA DOA.

SWALI?

Je,wote wavaao nguo ya bibi harusi hawana DOA?

Hainijii akilini mtu ambaye kazini na anaendelea kuzini avalishwe nguo ya bibi harusi ya rangi NYEUPE.Ni vema basi wale ambao wana DOA wavalishwe nguo ya bibi harusi ambayo ina rangi NYEUSI.

......

Si mnawaona MABWANA HARUSI?

SWALI...

Umewahi kujiuliza kwanini MABWANA HARUSI hawana rangi maalum ya nguo ya harusi?

Ushauri.

Kama unatarajia kuolewa na ku kuvaa nguo ya bibi harusi na unajijua ushazini kabla ya ndoa,tafadhali vaa nguo ya bibi harusi yenye rangi nyeusi.

Posted by nyahbingi worrior. Wednesday, September 21, 2011

0 comments

Post a Comment

Followers

Popular Posts

Luihamu Ringo