Recent Posts

Sijui niandike nini,

ila naendelea kumsikiliza Nabii katika confrotation.

Unajuwa nini,inakuwa vigumu kurudi nyumbani kwa kuwa ugenini kumekuwa nyumbani na wamejisahau kupita kiasi.Wenyeji nao kwao kumekuwa kama ugenini kwakuwa wote ni wageni.

Sikiliza Tungo yenye HEKIMA na BUSARA kutoka kwa Nabii.

Posted by nyahbingi worrior. Saturday, May 12, 2012

0 comments

Post a Comment

Followers

Popular Posts

Luihamu Ringo