Recent Posts

Namkumbuka bibi yangu,nakumbuka kabisa sikuwahi kumwona bibi yangu  akitumia KARO LIGHT,WANJA,POUDER au MAKE UP YOYOTE.

Pia nakumbuka sikuwahi kumwona BABU akienda saloon kukata nywele,kufanyiwa scarbing,nk.

lakini

cheki wanawake wa LEO na kina BABA wa leo.


Posted by nyahbingi worrior. Saturday, May 12, 2012

0 comments

Post a Comment

Followers

Popular Posts

Luihamu Ringo