Recent Posts

Teknolojia haiwezi kubadilisha matakwa ya Mungu.Kwa mfano Mungu aliuumba mwanamke akienda haja ndogo na kubwa achuchumae lakini mwanaume akienda haja kubwa atachuchumaa na akienda haja ndogo atasimama wima na huu ni mfano moja wapo teknolojia haiwezi kubadili.

Najiuliza kimyakimya,hivi kunatatizo gani mwanamke akisimama wima huku akiwa katika  haja ndogo?

Posted by nyahbingi worrior. Wednesday, May 30, 2012

0 comments

Post a Comment

Followers

Popular Posts

Luihamu Ringo