Recent Posts

Wengi wetu hatupendi kusoma makala ila tunapenda picha,wakati wenzetu wakihamasishana kupenda kusoma sisi huku tunahamasishana kutizama picha.

Nauliza,wangapi kati yetu tunatabia ya kununua magazeti kama Raia Mwema,Mwana Halisi,Mwananchi.

Umewahi kuchungulia pochi za kinadada?Utakuta pochi ya binti imetuna lakini ukifanikiwa kutiza ndani,utakuta

1.Wanja
2.Poda
3.Nyembe
4.Always
5.Pochi ndogo kama sita
6.Ndala

n.k

Katika dunia ya leo,urembo haufui dafu.

Posted by nyahbingi worrior. Wednesday, May 30, 2012

1 Responses to Kwanini hatupendi kusoma.

  1. Yasinta Ngonyani anasema:
  2. Hatupendi kusoma kwa vile hatujazoeshwa kusoma tangu mwanzo..nihisivyo mimi ni ruksa kuwa kinyume.

     

Post a Comment

Followers

Popular Posts

Luihamu Ringo