Recent Posts

kitururu juu ya kumwomba Mungu

Tatizo la kuomba MUNGU - hata vitani majeshi yote huomba MUNGU kwahiyo labda MUNGU akiombwa majibu yake MBABE hushinda.
Ushauri wangu kwa usieolewa kuwa NGANGARi kivyako kama BINADAMU!
Maana mambo mengine kama KUOA na KUOLEWA kibinadamu ni vitu vilivyo tungwa tu na BINADAMU .

Adamu na HAWA tunda tu walistukia wenyewe. Na baada ya kufukuzwa kwenye kigadeni hakukuwa na SHEKHE wala PADRE wa kuvalisha nanihii kidoleni. Samahani nawaza tu kwa sauti na RUKSA kutosikiliza!Na nimeacha! Monday, March 12, 2012 blogu ya
http://kamalaluta.blogspot.com/search?updated-max=2012-05-07T12:05:00%2B03:00&max-results=500
 
Leo nimejikuta nikicheka na kufurahisha moyo wangu baada ya kutembelea Blogu ya
 
http://kamalaluta.blogspot.com/  kwani kunavichekesho kedekede.
 
 

Posted by nyahbingi worrior. Saturday, June 2, 2012

0 comments

Post a Comment

Followers

Popular Posts

Luihamu Ringo