Recent Posts

Kunatofauti gani kati ya Ngono Zembe na Ngono ya kawaida?Mzazi au wazazi tuache kuwadanganya watoto wetu eti kuna Ngono zembe na madhara ya Ngono zembe.

Swali?

Kwani ngono zembe inapatikana wapi na ngozo halali inapatikana wapi?

Wale ambao wanatenda ngono halali inasemekana ndio wa kwanza kukumbwa na madhara kuliko wale wanaopenda Ngono Zembe.

Hivi huwezi kutumia condom wakati wa ngono zembe? lakini RUKSA kutumia condom ndani ya Ngono Halali.

Posted by nyahbingi worrior. Saturday, June 2, 2012

0 comments

Post a Comment

Followers

Popular Posts

Luihamu Ringo