Recent Posts

Utamlinda kwa kuwa unampenda kwa kutumia kondom.

Hivi,kwanini tunatumia Kondom?

Hivi,kwanini tunahubiri sana kuhusu kondom lakini tunaogopa kuwafundisha watoto wetu kuhusu kondom.

Hivi,mtu mwenye akili timamu atatumia kondom then atupe barabarani?

Eti jamani,mbona kondom za kike hazisikiki kivile?

Hivi,mtu mwenye akili timamu atakwenda kununua kondomu dukani?

Hivi,chuo chenye malengo mazuri kwa wanafunzi wake kitakubali kupokea maelfu na maelfu ya baksi za familia kondom?badala kupokea vitabu,makompta n.?

This makes me sick.

Posted by nyahbingi worrior. Saturday, June 2, 2012

0 comments

Post a Comment

Followers

Popular Posts

Luihamu Ringo