Recent Posts

 picha kwa niaba ya http://adeladallykavishe.blogspot.com/.
picha kwa niaba ya google.

Anormal WOMAN will never say or write such things to her man(imenibidi nitumie lugha ya kina nani kule mamtoni ili nionyeshe msisitizo).Ni hivi,mwanamke mwenye AKILI TIMAMU kufikiri kumwomba mme wake au rafiki yake wa kiume HELA.

Hivi nani alisema MWANAUME NI HELA?Huu ni upuuzi ambao umejengwa ndani ya vichwa vya wanawake wengi.

Kwasasa wanawake wanatufanya sisi wanaume ni WORLD BANK au IMF.

Pia..

Kuna wanaume noa wamewageuza kinadada kuwa ATM.

Pia tukumbuke....

Hela zilizomo ndani ya ATM zinawenyewe.

Posted by nyahbingi worrior. Saturday, June 2, 2012

0 comments

Post a Comment

Followers

Popular Posts

Luihamu Ringo