Recent Posts

Ni hivi,Reggae is so powerful until they fear the Ujumbe,until they cant play intheur Radio Stations.Usidanganyike,raggamaffin sio Reggae.

Vituo vingi vya Radio hapa nchini havipigi reggae,je unajuwa kwanini?simple,kwasababu REGGAE IS POWERFUL AND Studio zao au radio zao haziwezi kuhimili ujumbe ambao unapatikana katika tungo za REGGAE.

Unajua msomaji,unaposikiliza Reggae,husikilizi reggae bali UJUMBE ndani ya Reggae.

Unajua nini msomaji,wasanii wengi wataimba na kufoka tungo ambazo hazina vichwa wale miguu lakini hawawezi kusogelea REGGAE kwasababu REGGAE lazima kwanza uwe UMETAKASWA na Mfalme Haile Sellasi I.

Mtu hakurupuki tuu kuanza kuimba Reggae,angali tungo za leo,angalia radio zetu zinapiga tungo za aina gani kila kikucha.

Leo hii msanii wa umri chini ya miaka 18 anaimba tungo za mapenzi?Mimi nakumbuka kipindi fulani nikiwa darasa la 5 au 6 mama alinisikia nikiimba wimbo wa Judy Bocher kwa jina la i love you but i cant be with you tonight,nakumbuka nilipigwa kipigo cha mwizi,lakini leo.....watoto wadogo wadogo wanaimbaimba tu.



Posted by nyahbingi worrior. Saturday, June 2, 2012

0 comments

Post a Comment

Followers

Popular Posts

Luihamu Ringo