Recent Posts

Kuna tofauti kati ya kupenda na kutamani.Wengi hutamani.

Mtu mmoja,alimpania binti mmoja baada ya binti kukubali kwenda kwake kumtembelea.Baada ya yule kaka kuwa na uhakika ya kuwa yule binti atakwenda kwake akaamuwa kununua na kumeza vidonge vya VIAGRA.Huku na huku yule binti alipata udhuru na hakutokea sehemu ya tukio.

Kilichotokea nakuachia msomaji umalizie.

Posted by nyahbingi worrior. Monday, June 11, 2012

0 comments

Post a Comment

Followers

Popular Posts

Luihamu Ringo