Recent Posts

Ndio,socialiazation.Mtoto anapozaliwa hadi anafariki dunia hupitia socialization.Socialization huanza pindi mtoto anapozaliwa,waalimu wa kwanza kabisa wa socialization ni wazazi wa mtoto.

Kama bado tunapuuzia socialization,jamii yetu itakuwa ya kituko.

Posted by nyahbingi worrior. Monday, June 11, 2012

0 comments

Post a Comment

Followers

Popular Posts

Luihamu Ringo