Recent Posts

Kwanini pindi msiba unatoke watu hukimbilia na kuweka daftari la michango?

Kwanini watu wanaomba kuchangiwa pindi wanapotaka kuoa au kuolewa?

Kwanini watu hawachangii pindi mtoto anafaulu na hana ada ya kulipia chuoni?

Vikao,kila kukicha lakini hakuna maendeleo.

Kwanini vijana wengi wanapenda kwela ulaya na kuacha mashamba vijijini bila nguvu kazi?

Kwanini dada zetu wanapenda kuolewa na wazungu,wazee na kuacha vijana solemba?

kwanini mtoto au watoto huitwa halfcast?


Posted by nyahbingi worrior. Friday, June 8, 2012

2 comments

  1. Yasinta Ngonyani anasema:
  2. hata mie nimejisikia kuwashwa na kichwa... nanukuu "Kwanini watu hawachangii pindi mtoto anafaulu na hana ada ya kulipia chuoni?" mwisho wa kunukuu:-hii huwa inanisumbua sana hivi ni kwanini?

     
  3. Hata mimi Da Yasinta sielewi.

     

Post a Comment

Followers

Popular Posts

Luihamu Ringo