Recent Posts

Naamini HAKUNA mama anapenda kuwa MAMA WA KAMBO.Hakuna mwanamke anazaliwa kuwa MAMA WA KAMBO.Mama yeyote yule anaweza kuwa MAMA WA KAMBO baada ya kuwa na sifa ya kuwa MAMA.

Sifa moja wapo ya kuwa mama ni

..Uwezo wa kubeba, kuzaa kiumbe,kunyonyesha,kuhudumia,kukitibu kiumbe mtoto...

Mwanamke bila mtoto hawezi kuitwa MAMA.

Sasa basi......Mwanamke yeyote yule ambaye kajifungua mtoto anaweza kuwa MAMA wa KAMBO.

Baadhi ya Sifa za MAMA WA KAMBO.

KATILI.
JEURI.
MBINFASI.

Kabla Mama hajaitwa MAMA WA KAMBO hana hizo zifa za MAMA WA KAMBO lakini akishaukwaa UMAMA WA KAMBO basi ananyakua hizo sifa.

SWALI.

Hii siku ya mama duania inawahusu na MAMA WA KAMBO?

Posted by nyahbingi worrior. Saturday, June 9, 2012

1 Responses to MAMA MZAZI NA MAMA WA KAMBO.

  1. Yasinta Ngonyani anasema:
  2. Inawashusu kwa vile ni wanawake pia. Na halafu inawezekana ni mama wa kambo na pia ana mtoto/watoto wake pia...Mbona huwa wengi wanawatakia kheri akina bibi, dada,shangazi, nk.

     

Post a Comment

Followers

Popular Posts

Luihamu Ringo