Recent Posts

Hapo zamani za kale,Kale zenye BARAKA katika maisha ya bibi na babu zetu.Hapo zamani,baada ya mwanamke kuolewa,usiku wa kwanza kulala na mumewe,kina bibi walitandika shuka jeupe na kisha kulichua asubuhi na mapema.

Leo hii ni taofauti kwasababu hawa wawili mume na mke walishakutana kimwili kupita kiasi na hata kama wakiwekewa hilo shuka haito saidia kitu.

Nasema hivi.

Sielewi NDOA HALALI ni aina gani ya NDOA?

Posted by nyahbingi worrior. Saturday, June 9, 2012

1 Responses to Hadithi,hadithi.

  1. Yasinta Ngonyani anasema:
  2. Ndo yaleyale yaani mila na desturi zetu. Siku hizi wengi wanasema mie siwezi kuoa mpaka nijaribu kwanza... Swali langu je ukijaribu na kama afai nani atamwoa huyo? Ndoa zote ni halali ila tu tusema zamani zilikuwa safi zaidi na pia zilidumu. Je ni kwasabu ya hizo milia au?

     

Post a Comment

Followers

Popular Posts

Luihamu Ringo