Recent Posts

kurudi,nimerudi,
safari ndefu na siku nyingi,
mawazo nimeyapunguza,
utumwa nimeuacha,
bado nampenda,nafsi naiburudisha,
yote maisha.

Posted by nyahbingi worrior. Tuesday, November 17, 2009

0 comments

Post a Comment

Followers

Popular Posts

Luihamu Ringo