Recent Posts

Mungu Mkubwa,nasafiri kwenda Mkowa wa PWANI kwa siku 11 kuanzia kesho 6/11/2009.Nadhani siku hizi 11 nitazitumia kutuliza akili na mawazo yangu.Nashukuru kukaa mbali na binadamu mmoja hivikwa siku hizo 11.
natumai nikitoka huko nitakuwa na mawazo tofauti kabisa.
jah live,jah bless
nuff nuff respect to all.

Posted by nyahbingi worrior. Thursday, November 5, 2009

2 comments

  1. Bwaya anasema:
  2. Kaka pole kwa yanayokusibu. Nakutakia mapumziko mema!

     
  3. asante kaka.Yote maisha.

     

Post a Comment

Followers

Popular Posts

Luihamu Ringo