Recent Posts

Aggregator ni kikusanya habari.Mfano mmoja wa aggregator huu hapa http://www.kenyaunlimited.com/feed.php hiki ni kikusanya habari cha wanablogu waote wa Kenya na baadhi kutoka nchi zingine.

Swali.
Je wanablogu watanzania tumeshindwa kuwa na aggregator yetu?
Bei ya aggregator ni dola za kimarekani 100,000 sawasawa na 120,000 Tsh kwa mwaka.

Je?
Jumuiya ya wanablogu Tanzania ina wanablogu wangapi?Kweli kabisa tumeshindwa kila mwanablogu kuchanga 15,000 Tsh kwa mwaka kwa ajili ya aggregator?

sasa..
tunachosubiri ni nini?

Posted by nyahbingi worrior. Monday, January 18, 2010

0 comments

Post a Comment

Followers

Popular Posts

Luihamu Ringo