Recent Posts

Kipindi fulani baada ya katiba ya jumuwata kuwekwa kibarazani,ndugu yetu MK ambaye amedisign blogu nyingi sana,alijitolea kuiboresha kurasa ya JUMUWATA kwa bure kabisa.

Katika ile kurasa ailiyo boresha aliweka nembo ya kampuni yake MK lakini gafla baadhi ya wanablogu walikujaa juu nakumtaka aondoe matangazo ya biashara katika kurasa ile.Binafsi nilipinga kuondolea matangazo yale kwani huyu bwana wa MK alijitolea bure kabisa kuimarisha ile kurasa and who knows kwamba MK angetufanyia mambo makubwa?Lakini wanablogu waliona MK atafaidika sana sasa leo hii hiyo kurasa ya JUMUWATA iko wapi?Aibu tupu.

Angalia kurasa ya ndugu zetu wakenya inamatangazo chungu mzima.

Bado tunamwitaji ndugu MK.

Posted by nyahbingi worrior. Monday, January 18, 2010

0 comments

Post a Comment

Followers

Popular Posts

Luihamu Ringo