Recent Posts

alikuwa binti mtanashati,mwenye umbo la kuumbika,
alipotembea kila kiungo cha mwili wake ulitikisika,
alijijua yeye ni mzuri,pasipo kuambiwa na yeyote.
paradiso ya kahaba.

vijana nao,mbio wakatia,
binti naye kuchagua,
pesa ilikuwa nia na madhumuni,
aligawa kwa wale wenye pesa,
walicheza katika,paradiso la kahaba.

Posted by nyahbingi worrior. Saturday, January 16, 2010

2 comments

  1. Yasinta Ngonyani anasema:
  2. kazi kwelikweli!! jumapili njema.

     
  3. Da Yasinta.Ama kweli kazi ipo.

    Itakuwaje jumapili njema huku JUMUWATA inazidi kufifia?

     

Post a Comment

Followers

Popular Posts

Luihamu Ringo