Recent Posts

jiweke hai na utaishi milele,
jitoe kwa wengine na utaishi milele,
mpende akuchukiae na utaishi milele,
usimwabudu mume/mke wako kuliko jirani yako na utaishi milele,
rithisha.

kuzidisha kurithisha katika mapenzi utaachwa,
kisha utashangaa,
kuzidisha kurithisha katika kutenda tendo la ndoa,utaumbuka,
kisha kichwani mikono utaweke,
rithisha,

kilichoko gizani lazima mwanga kuhitajika,
ukirithika na kuvua,mwishoe utaivaa kichwani,
na kutembea mtaanii,
si bangi,ila ilizidisha kurithisha,
ukadhani utazidi kupendwa,
kwa kurithisha.
rithisha.

Posted by nyahbingi worrior. Saturday, January 16, 2010

0 comments

Post a Comment

Followers

Popular Posts

Luihamu Ringo