Recent Posts

Nilitegemea blogu nyingi za ndugu zetu watanzania waishio ughaibuni kublogu kuhusu ughaibuni lakini kumbe sio bado wanakumbuka nyumbani.Duh!!

Posted by nyahbingi worrior. Wednesday, February 3, 2010

6 comments

  1. Unknown anasema:
  2. Nyabhingi: Home is where your heart is. Kwa hiyo wanaweza kuwa Dar lakini wanawaza matobholwa kule Sangamwalugesha :-(

    Ninaye yangu yuko USA yeye anadai kuwa akifa hata iweje ni lazima arudishwe aje azikwe pembeni na alikozikwa mama yake. Na akisikia nduguye yeyote ana shughuli ya arusi atapanda pipa na kuja huku kula mapochopocho ya nyumnani.

    hivo usishangae sana kwa hilo

    Chacha o'Wambura a.k.a Ng'wanambiti!

     
  3. Chacha,wengi utakuta wanazungumza mapungufu ya Tanzania na mazuri kusahau.

    Nami nafurahi kuona jinsi gani wanakumbuka nyumbani.

    amani.

     
  4. Yasinta Ngonyani anasema:
  5. nyumbani ni nyumbani

     
  6. Unknown anasema:
  7. kuna mutu aliwahi kusema 'be the change you want to see'. Kama wanaongea mapungufu bila kuangalia ni kwa jinsi gani wenyewe wameshiriki kuyatengeneza ama kuyafanya yaendelee hapo ndo kuna tatizo....:-(

    Chacha o'Wambura a.k.a Ng'wanambiti!

     
  8. Mija Shija Sayi anasema:
  9. Ni kama wewe tu Lui, Uko Kinondoni lakini roho yako yooote iko migombani Uchagani. Si unaona mwenyewe unavyoliongelea Jembe japo unalikwepa kiaina?

     
  10. Da Mija,silikwepi jembe.Unataka nijichanganye hapa.

     

Post a Comment

Followers

Popular Posts

Luihamu Ringo