Recent Posts

Naamini kila jambo ambalo lazima nikutane nalo katika maisha ni lazima litokee ili neno litimie.

bado natafakari msemo wa Kaka MUBELWA BANDIO.

I HAVE NOT CHANGED BUT I BECAME MORE CLEARLY OF MYSELF.

Posted by nyahbingi worrior. Monday, May 31, 2010

2 comments

 1. SIMON KITURURU anasema:
 2. ``Naamini kila jambo ambalo lazima nikutane nalo katika maisha ni lazima litokee ili neno litimie.´´ mwisho wa nukuu.:-(


  Kwangu hiyo nukuu sio ukweli.

  :-(

   
 3. toa sababu mkuu.

   

Post a Comment

Followers

Popular Posts

Luihamu Ringo