Recent Posts

Unadhani pasipo neno litimie ungekuwa hapo ulipo sasa?Ili neno litimie lazima tupitie hatua moja au nyingine,huwezi kukwepa.Cha muhimu ni kushukuru kwa kupita na neno kutimia ili kujifunza na hilo ulilo kutana nalo.

Ili neno litimie.

Posted by nyahbingi worrior. Thursday, June 3, 2010

2 comments

  1. SIMON KITURURU anasema:
  2. Amen!

     
  3. Amen,kwahiyo umekubaliana nami mkuu Simon.

     

Post a Comment

Followers

Popular Posts

Luihamu Ringo