Naamini wengi wanaosoma maandiko ya Nyahbingi worriors ni waafrika na naamini wengi wako nje ya afrika kuliko wale ambao wako ndani ya afrika au inawezekana hakuna yeyote yule mwafrika anayemsoma nyahbingi worrior labda atakeyekuja kusoma atakuwa mzawa wa amagedon au apokalipse.
Swali ambalo nimekuwa najiuliza kila kukisha,kwanini waandishi wengi wakiaafrka waishio ughaibuni huandika mazuri ya ugenini kuliko nyumbani?
Naamini bloger au mwandishi wa nje kabla hajaanza kuandika makala huwa na mazingira mazuri kama vile chai,Yaianaandika kwa kutumia laptop n.k lakini blogger ambaye yuko nyumbani basi huanza na mazingira ya usafiri(daladala) pili network iko down(the saver cannot connect) unaona.
SEE THE OTHER SIDE OF AFRIKA.
Saturday, June 5, 2010
kweli kabisaaaaa mimi nayapitia haya niko mikoni bongo ni noooma mkuuu.