Recent Posts


Da Mija,Simon Kitururu,Da Yasinta,Kamala,Bwaya,Serina,Vukani,Subi, swali kwenu.
Je huyu mama katika picha anaitwa nani?

Posted by nyahbingi worrior. Monday, June 7, 2010

5 comments

 1. ngoja nichukue miwani kwani naona labda ni wanaume wote....lol

  kwa kweli sijui

   
 2. Yasinta Ngonyani anasema:
 3. Ngoja mimi nijaribu, Huyu mama anaitwa Menen Asfaw ni mke wa Haile Selassie.

   
 4. Bwaya anasema:
 5. Yasinta kaniwahi

   
 6. Mija Shija Sayi anasema:
 7. Mbona wote ni wanaume?

   
 8. Da Yasinta umepata,Bwaya ungewahi kidogo.

  Chacha Na Da Mija mi simo.

   

Post a Comment

Followers

Popular Posts

Luihamu Ringo