Recent Posts

nitamiss maswala mwengi sana,Mtandao ni mojawapo lakini nitajitahidi kuwajulisha yanayojiri,nategemea kurudi duniani mwezi wa 12 au wa kwanza.

Kwasasa bado nipo lakini.

Posted by nyahbingi worrior. Thursday, August 19, 2010

3 comments

 1. Yasinta Ngonyani anasema:
 2. umefanya vizuri kutoa taarifa mapema. mie nimeshaanza kukumiss.Nakutakia kila jema uwapo Mtwara!!

   
 3. Nashukuru sana Dada ila bado kama wiki hivi.

   
 4. Yasinta Ngonyani anasema:
 5. hata kama ingekuwa bado mwaka lakini umetoa taarifa. au?

   

Post a Comment

Followers

Popular Posts

Luihamu Ringo