Recent Posts

Usafiri wa mtwara niwashida sana,nilitoka Dar saa moja na nusu,nilifika Mtwara Jumapili.Dunia ya leo ambapo kina nani ambao wako ugenini wanahama miji kwa sekunde mbili.

Be back soon.

Posted by nyahbingi worrior. Tuesday, January 25, 2011

3 comments

 1. Yasinta Ngonyani anasema:
 2. ndo maisha ndugu yangu lakini nilijua barabara imetengenezwa...uwe na wakati mzuri.

   
 3. emu-three anasema:
 4. Kama hapa Dar kutoka Msasani hadi Gongolamboto tunatumia masaa mawili hata matatu, sembuse kwenda huko magongokuinama! Ndio maendeleo haya, taratibu, mwendo wa jongoo...

   
 5. chib anasema:
 6. Kila la heri Mkuu, ukisikia samaki Nchanga uwe mwangalifu. Endeleza jadi ya mboga mboga na matunda utunze afya yako. Kila la heri

   

Post a Comment

Followers

Popular Posts

Luihamu Ringo