Mchakatop wa kuifufuwa JUMUWATA umeanza kwa kuwatumia zaidi ya wanablogu 62 ujumbe mfupi katika komenti boksi zao.Nalijuwa wanablogu ni wengi mno kutoka Tanzania.Kazi ya kuendelea kuwajulishe wengine naendelea nayo.
Kama utakuwa umepata ujumbe wa kuifufuwa JUMUWATA tafadhali tunaomba ushiriki.
Mkuu simon tunategemea ile kurasa ya JUMUWATA itakuwa ACTIVE SOON.
Thanks.
Thursday, September 29, 2011
Hi! Thanks kwa ujumbe wako, nimeupata lakini nimeingia kwa hiyo link uliyoweka kama unavyoona mwenyewe hiyo site haiko active. Sasa sijui ni huku nilitakiwa kuchangia mawazo au la.
But one thing nimeona kwenye hiyo post yako hapo chini..What do you mean by saying "read my lips"? To me what I am trying to do is to spare myself from the emails I receive everyday regarding this issue. Ninafikiri watu wanafikiria kuwa Tanzanian Blog Awards na JUMUWATA ni kitu kimoja..I think if people communicate with me asking the same question over and over I have the obligation to tell them what I know and what I don't know..So when I brought this issue to Tanzanian bloggers attention it wasn't as if I was trying to kill someone's else Umoja or something..This is not a winning battle who to win and who to loose. I think you got it all way wrong....I brought this issue to all bloggers with the good intention.
Anyway all in all mimi pamoja na emails ninazopata kutoka kwa bloggers mapendekezo yao mengi ni kuwa:-
1. Wengi wao wanataka chombo cha kuwaunganisha.
2. Kama ilivyoonekana upo umoja mwinigne basi ni site hiyo itengenezwe vizuri ili iweze kuwafanya bloggers wa Tanzania wawe na mahali pa kukutana, kufahaminiana na kujadiliana mambo mbali mbali.
3. Viongozi kama wanajitolea kubakia hao hao au wanachaguliwa wengine lakini na new generation pia washirikishwe katika kuchangia mawazo yao jinsi gani huo umoja uendelezwe...
4. Wamesema katiba itengenezwe au kuwa updated ili iende na wakati.
5. Na katika maoni yote ninayopokea inaonekana new comers au younger generation ndio wana hamu sana ya kuwa united. Sasa wanasema kama older generation hawatapendelea kuwa na umoja wanaomba wapewe hilo jina ili wautengeneze umoja huo.
Na kuna vijana ambao wamesema wanaweza kujitolea kukarabati mambo yote kama unataka emails zao contact me nitakutumia ili uwasiiliane nao mjue wapi pa kuanzia
Tanzanian Blog Awards