Recent Posts

Mama ni cheo kwakuwa kuweza kujifungua,baba ni cheo kwa kuwa kaweza kuzalisha.

Swali...

Msichana ambaye mtoto kafia tumboni ataitwa nani?

Swali...

Wote wanaozaa na wanauwezo wakuzaa wanasifa ya kuwa mama?

Swali,

Je kina mama wanaotumia kidonge vya kuzuia mimba nao waitwe kwa jina la mama?

Je,wanyama wanaozaa nao wanaitwaje?

Mfano...

Mbwa akishazaa anaitweje?

Nyau akishazaa anaitwaje?

Sasa bana ndugu,mama wakambo naye ni mama?

Pasua kichwa....

Kwanini mama wa kambo wanaasili ya roho ya kinyama tofauti na baba wa kambo?

Hivi mama wakambo naye anasifa ya kuitwa mama?

Mama ambaye anaupendo na watoto wake tu na kuwachukia watoto wa mama jirani naye anasifa ya kuitwa mama?

Posted by nyahbingi worrior. Thursday, October 6, 2011

0 comments

Post a Comment

Followers

Popular Posts

Luihamu Ringo