Recent Posts

Uke ni siri?

Ume ni siri?

Uke wa mtoto mdogo hauamshi mori kama UKE wa mtu mzima.

Uke wa bibi kikongwe hauamshi mori kama UKE wa binti wa miaka 18-35.

Kwanini UKE na UME zimekuwa ni sehemu ya SIRI ya mwili wa Binadam??Kama kweli UKE na UME ni sehemu ya siri kwanini Dokta,mzazi,mtunza maiti wanaruhusa ya kuziona?

Lakini,inasemekana UKE au UME wa mkeo au wa mmeo wa miaka mingi hautamanishi kama UKE au UME wa binti au kijana apitaye barabarani.

Jamani........

Wanyama nao wana UKE na UME?

Kama wanyama wana UKE na UME,kwanini haziitwi sehemu za siri?

SWALI.........

Hivi kunatofauti kati ya UME au UKE kati ya mnyama na binadam?

Posted by nyahbingi worrior. Thursday, October 6, 2011

0 comments

Post a Comment

Followers

Popular Posts

Luihamu Ringo